FAIDA YA INTERNETE

BINWA REHEMA
Posted January 22, 2014 from Democratic Republic of the Congo

Naitwa kwajinala binwarehema mzaziwa watoto munane nashukuru mamashujaa kupitiya yeye na shukuru mamashujaa kupitiya yeye namiye nimejuwa kuandika journal miyepeke ,nilijuwa mambo mengi ambayo sikukuwa najuwa tangu mbele,nimejuwa ordinateur na internete,faidatunapata kwa internete nikubwasana,kungambo yangu singeyifikiyaka kupitiyamaman shujaa namiye nikapata neema ya kusoma kwabule,kwamaana kupata franga za kulipiya batoto piya na miye ilikuwa nikuwaza kwanza watoto jo talipiya walaufanyenini ,naomba wengine wamamawajiungemkono kusongeleya mamashujaa kwani kupitiya internete unajulikana nawengine wamama wainchi zambali wamama tusijiachiliye ulimwenguwaleo ahukotena wa wababatu niwa watuwote kutumika Nashukuru kwawote watasoma journal.

English translation by community member Celya

Benefits of internet

In the name of Binwa Rehema, a mother of eight children, I would like to thank Mama Shujaa. Through them, I have learned how to write a journal myself. I have learned so many things that I didn’t know before. I can use a computer and internet. Using the internet has been great. I would never have dreamed of getting anywhere near a computer. Through Mama Shujaa, I got lucky and I am learning for free. It is luck because finding money to cover the education of my children and my own education wasn’t an option. My children come first, there is nothing I can do about that. I would like to ask other mothers to act hand in hand and join Mama Shujaa because through the internet, you get known and get to know other mothers from far away countries. Mothers, let not give up on our selves, the world today is different from what it used to be and everyone must work harder. I would like to thank everyone who will read my journal.

WWW: Women Weave the Web

Comments 14

Log in or register to post comments
MASOKA
Jan 29, 2014
Jan 29, 2014

Niya m'ana sana kwakujitoleya kujifunza machine yaani computer,kwakweli duniya ya leo kwakufanya kazi yoyote inaomba kutumiya chombo hicho piya si kwa wa baba ao vijana wanaume tu bali nikwa watu wote wanawake kama wanawume kwenye jamii ao kazini ,hii natubidi kujuwa nakutumiya vipaswavyo.Wanawake si wakufanya kazi yanyumbani hapana si watumwa bali wana mamlaka yote hile ya kutunza na kufanya yoyote hile ,tuzidi kushirikisha wengine wa mama na kuwahimiza kwakufanya hivyo usivungike moyo hila uimalike zaidi na uendeleye .

Kadidia Doumbia
Feb 03, 2014
Feb 03, 2014

Rehema,

Dans quelle langue ecrivez vous? Je ne comprends cette langue et je ne la connais pas pour pouvoir en trouvant une traduction. Pourriez vous etre assez gracieuse pour m'envoyer un message en francais. Merci d'avance.

Kadidia Doumbia
Feb 06, 2014
Feb 06, 2014

Binwa Rehema,

Nafurahi kujifunza kwamba walikuwa mafunzo ya kutumia internet ambayo ni chombo muhimu katika karne hii ya 21. Internet ni mlango wazi na kila aina ya habari, mafunzo na inaruhusu kupata vikao virtual majadiliano kama vile inayotolewa na worldpulse. Tuna hakika kuhamasisha wanawake wengine kupata mafunzo sawa na wewe kupokelewa.

I am glad to learn that you were trained to use the internet which is a useful tool in this 21st century. Internet is the open door to all kind of information, trainings and allows access to virtual discussion forums such as those offered by worldpulse. We trust you to encourage other women to get the same training you received.

Claudia Ashah
Feb 07, 2014
Feb 07, 2014

mtandao umeletaa manufaa kwa kila mtu especially wanawake, maana tunaweza kujua hali halisi ya kila mwanamke katika hii dunia, yale anayopitia na suluhu kupatikana.

Claudia

ANNA
Feb 07, 2014
Feb 07, 2014

Binwa Rehema, Did I understood it right if I read it as, Recibí el favor de la lectura? I find it's a lovely way to concentrate feelings in one phrase. Thank you

ANNA
Feb 07, 2014
Feb 07, 2014

nikapata neema ya kusoma kwabule

William
Feb 10, 2014
Feb 10, 2014

Dear Binwa, thank you very much for submitting your article about how you are using the Internet. I'm sure it will be a useful tool for you and all the women in your area. I can't read swahli, so I don't understand your message as well as I would like to. Keep writing and posting. William

Georgette Dashiell
Feb 11, 2014
Feb 11, 2014

Binwa

I am so sorry, but I can not understand your language. But, I feel and know that light is coming from your words. I know that the ability to communicate via email, via the internet, via blogs, and message boards such as this must be empowering for you and the women in your community! May light shine upon you in your journey to connect with other women.

Blessings, Georgette

BINWA REHEMA
Feb 15, 2014
Feb 15, 2014

mimi ni binwa nafurahi kwamaelezo yako namimi ninashida ya luga lakininitajikaza sisiwamama tulikuwa nashindwa sababuwalikuwa wana tuhima haki yetu wakatitulifungukamasho tukaona akuna kaziyenye mwanamuke awezefanya nakuna kwenyemwanamuke awezehenda.nahitajimawazoyako kusudihinisahidiye,aksanti

Celya
Mar 28, 2014
Mar 28, 2014

Benefits of internet

In the name of Binwa Rehema, a mother of eight children, I would like to thank Mama Shujaa. Through them, I have learned how to write a journal myself. I have learned so many things that I didn’t know before. I can use a computer and internet. Using the internet has been great. I would never have dreamed of getting anywhere near a computer. Through Mama Shujaa, I got lucky and I am learning for free. It is luck because finding money to cover the education of my children and my own education wasn’t an option. My children come first, there is nothing I can do about that. I would like to ask other mothers to act hand in hand and join Mama Shujaa because through the internet, you get known and get to know other mothers from far away countries. Mothers, let not give up on our selves, the world today is different from what it used to be and everyone must work harder. I would like to thank everyone who will read my journal.

BINWA REHEMA
Feb 15, 2014
Feb 15, 2014

utanihelewakwalunga

BINWA REHEMA
Feb 15, 2014
Feb 15, 2014

wamamawengi wangalinashinda kwasababuhaliya milaingaliinafungawatu mawawoyakoita tusahidiya kwakufungaakili

BINWA REHEMA
Feb 15, 2014
Feb 15, 2014

kupitiya hishombo nazasikiyamahonyi yako naukobalinamiye akisanti kwamamashujaa kunihingizamu worldpulse.

boughnea
Feb 24, 2014
Feb 24, 2014

Thank you for writing down your words and thoughts and encouraging other people and women to do the same. Just taking the time to write down what you think and in many ways what you are, this is putting yourself in a position to be remembered and to make a difference. History only exists for us in this time because someone chose to write it down. We must continue with this effort and make our own history and change our world. Great job! keep writing!!