MANGUMU YA WAMAMA WACONGO MANI

BINWA REHEMA
Posted February 11, 2014 from Democratic Republic of the Congo

Kusubukakwa wa mama wa congo mani kufuatana namahisha tunayo wanaume awapataketena makazi mzingowajamaa unakuwamumikonoya mama,wanajikaza kutafutishavinashindikanawenyekuwa na elimu yao kamawana tafuta kazi mkubwa anajibu akuwebibiyake kwahiyo unawaza kutumikakazi walakuacha wengine wanaonamasomoahifahi walewatoto tunawazaa tunawakomalisha kwashidanijapowaodiyo watasahidiya inchikwakesho tunaomba mutusaidiye nasisi tukuwe na namna yakujisahidiya.

Naitwa binwarehema mzazi wa watotomunane.

English translation by community member Celya

Difficulties faced by Congolese mothers

Congolese mothers are facing many challenges in their lives today. Men have no access to jobs anymore and women are carrying the weight of family responsibilities and are trying their best to find jobs. The educated women are being asked by employers to be intimate with them otherwise they don’t get employed. Other women are failing in class. We are bringing up our children in very difficult conditions yet they are the ones who will help the country tomorrow. We are asking for help from you because we would like to have means of self reliance. My name is Binwa Rehema I am a mother of eight children.

Comments 2

Log in or register to post comments
Celya
Mar 14, 2014
Mar 14, 2014

Mama Rehema, wa mama wana michoko mingi, alakini wana baraka kutoka kwa Mungu. Hata kwenye magumu mingi kuna mara kunatokaka baraka. Jikaze ndugu yangu, na Mungu aendeleye kuwa nawe!