FEMMES VIVANT AVEC HANDICAP

Fariala Mangaza
Posted February 4, 2014 from Democratic Republic of the Congo

ASSOCIATION D’ENCADREMENT POUR LA PROMOTION INTEGRALE DES FEMMES VIVANT AVEC HANDICAP(AEPIFHA)

Sisi ni wa mama wa lemavu wanao patikana mu République Démocratique du Congo(RDC), pa Sud-Kivu /Bukavu /Lycée Wima. Objectif yetu ni kupiganisha ukosefu ya wa mama walemavu kutoka mu hali ya kuomba njiyani na ku jitegemeya. Tuna fanya kazi ya mikono sawa vile : coupe et couture, artisanat, broderie, kuchona sakoshi ya modele mbalimbali. Tuna fundisha piya wengine wa mama na ma binti iyo kazi kusudi tufikiye ku lengo ya kujitegemeya. Kwa leo, tungali na tumikiya tu apa Bukaku, lakini tuko na jifunza namna ya kuingiya ku ma interieur kwa kuanza iyo kazi kusudi mama mlemavu wa ku interieur ajisikiye naye kama ni mtu sawa sawa na wanawake wengine na anafaa ndani ya société, ili ajuwe namna ya kujigaramiya kupitiya iyo kazi ya mikono. Tuko tuna fanya sensibilisation ili iyo kazi iendeleye mbele mu ku teteya haki ya mama mlemavu. Maana tuna fikiriya kwamba ita saidiya ku badirisha duniya nzima.

Coordinatrice Fariala Mangaza E-mail :[email protected]Tél: 0997354291 Siège : lycée wima/Bukavu/RDC .

English translation by community member Celya

Women living with disabilities

We are the mothers with disability from the Democratic Republic of Congo in the South of Kivu / Bukavu / Lycée Wima. Our objective is to fight against street begging and strive for self reliance for disabled women. We work using our hands for instance we work as dressmakers, handcraft, embroidery, making hand bags of different designs.

We are also sharing this knowledge and teaching other mothers and girls so that we can reach a level of self reliance. As we speak, we are only based in Bukavu but we are looking into possible ways of operating in remote rural areas. We would like disabled women living in remote rural areas to start this kind of work because it will make them feel like they are as human as any other women and that they are useful to their community plus this work will empower them financially. We are advocating for the rights of disabled women and for this work to keep going on because we believe that it will help and change the whole world.

Coordinator Fariala Mangaza E-mail :[email protected]Tél: 0997354291 Located: Lycée Wima / Bukavu / DRC .

Comments 5

Log in or register to post comments
Cali gal Michelle
Feb 04, 2014
Feb 04, 2014

Mangaza- I applaud you for your diligence in fighting for rights of those with disabilities. I know from my own experience there are challenges that most can not understand. It is my hope that attitudes will change and resources will be available around the world. We stand with you as you continue on your path.

Fariala Mangaza
Feb 08, 2014
Feb 08, 2014

Aksanti sana Michelle kwa kusoma journal yangu. nafurai kuona unajuwa histoire kidogo kuusu maisha ya wa lemavu. nasi ombi letu na matumaini yetu ni ku badirisha hali kupitiya ku andika; ili duniya yote isikiye sauti ya mama mulemavu, maana kupitiya ile, kuna weza kuwa mabadiriko. Tuta endeleya kuandika ju ya walemavu na ku wateteya, ili tuone kama tuta toka mu maisha ya kulomba.

Fariala Mangaza
Apr 01, 2014
Apr 01, 2014

siku mingi sipate,habariyako lakini tungali tupamoja natunaendelea kutumika kama kawaida tenawamama walemavu wanakusalimu sana natunachunga mchango wako kwanjia yamashauri

Celya
Mar 14, 2014
Mar 14, 2014

Women living with disabilities

We are the mothers with disability from the Democratic Republic of Congo in the South of Kivu / Bukavu / Lycée Wima. Our objective is to fight against street begging and strive for self reliance for disabled women. We work using our hands for instance we work as dressmakers, handcraft, embroidery, making hand bags of different designs.

We are also sharing this knowledge and teaching other mothers and girls so that we can reach a level of self reliance. As we speak, we are only based in Bukavu but we are looking into possible ways of operating in remote rural areas. We would like disabled women living in remote rural areas to start this kind of work because it will make them feel like they are as human as any other women and that they are useful to their community plus this work will empower them financially. We are advocating for the rights of disabled women and for this work to keep going on because we believe that it will help and change the whole world.

Coordinator Fariala Mangaza E-mail :[email protected]Tél: 0997354291 Located: Lycée Wima / Bukavu / DRC .

Fariala Mangaza
Mar 31, 2014
Mar 31, 2014

yanilipenda,nikusalimie kwajina yawamama walemavu wote,tunasema askanti kwakutugeuzia malalamiko yetu kwalugaya kingereza,sisiwalemavu tulikosaka bahati,yakwenda kumasomo kufatana namajamaa zetu.sasaivi tunakuwawatu wazima ikonatupasouci sana nakama tunapata mwenye anaweza kutusaidia kutufungulia ata centre yamajifunzo yakifaransa itatusaidia sana.