SIMU YA MKONONI KWA WOTE



Maisha ya walemavu ina zarauliwa sana ndani ya dunia ya leo. Walemavu wengi hawana simu za mkononi, na iyo haiko muzuri vile. Tuna penda tujifuraishe ku njiya ya kuongeleshana kupitiya simu ya mkononi kama wengine watu.
Hali iyo inatokana kabisa na gisi haki zetu hazieshimike na watu kupitiya hali yetu ya ulemavu. Tuna tupiliwa, tuna achiliwa sana. Watu wenye kuwa wa zima hawaoni kama sisi ni watu ndani ya société .
Kwa mfano, ndani ya manyumba zetu, kama kunakuwa mtoto mulemavu, yeye haiko consideré sawa sawa na wengine watoto.Kama wana uziya watoto telephone, yeye habawezi mu uziya, na wana mutupiya maneno kusema: « toka pale wewe kilema, nawe uta fanya nini na simu ya mkononi ? , ninani ndiye unaweza kuita ambaye anaweza kukusikiya ? »
Ile yote haitupendezi, na inatuuzikisha sisi walemavu.
Ndiyo maana, tuna omba kwa wakubwa wa nchi wa saidiye wale walemavu wote ambao wanakosa gisi ya kujiuziya simu ya mkononi, wala wale ambao wana ishi ndani katika jamaa ambayo hawazaliwe ndani.



English translation by community member Celya



Mobile phone for all



The life of disabled people is greatly despised in today’s world. Many disabled people do not have mobilephones and that is not right. We would love to talk to each other with mobile phones just like everyone else.
People do not respect us because of our state of disability. We feel left out, disregarded. People without disabilities do not consider us to be part of the society. For example in our families, if a child is born with a disability, it does not get treated like other children. When parents buy mobile phones for their children, they do not buy one for their disabled kid and they throw insults at him/her such as “get off, you, handicap! What would you do with a mobile phone? Who will call you and who will want to hear what you have to say?”
We, the disabled, are not happy with all of that and that is why we are asking the authorities of our country to help disabled people who cannot afford to buy mobile phones for themselves and the disabled people who leave with foster families.

Like this story?
Join World Pulse now to read more inspiring stories and connect with women speaking out across the globe!
Leave a supportive comment to encourage this author
Tell your own story
Explore more stories on topics you care about