MAGUMU YA WAKAJI WA NINDJA.



Tangu vita ilianza kuanzia kuwamaimai :
watu wakanza kukimbia makao zao, wakateswa sana.
NT



ERAHAMWE nazo zikaanza kuingilia watu kupora maliyote: Ufugo,mavazi kuvuna mashamba zawakaaji kiwelela,
kubaka wanawake na wabinti.



Nyuma ikageuka sasa kwenda nauwa watu, kuwabeba wengine kupori na kulomba wawalipiye makuta ya mrefu sana



na kama hazionekane banakuuwa.

Jama nyingi zikahama bila mpango ya kuhama, watoto wengi haukusoma tena,hata nawengine wakaolewa

kwakinguvu na wale wanterahamwe.

Mpaleo watu wanaendelea kuishi kakika hali ya umaskini


English translation by community member Neema



The Challenges for Citizens of Nindja Territory



From when the war began with Mai Mai:
People began to leave their homelands and suffered much.



Then the Interhamwe came and broke into the houses and stole all possessions and all livestock and harvest, and violence the women and girls.



After they violence the women they killed people and kidnapped some, taking them into the bush with them. They would hold the kidnapped people for high ransom.



Many families moved from their homes to Bukavu without any plan or resources. Many children are unable to go to school.



Since the families don't have any resources, they forced the girls to marry Interhamwe.



Until today, people continue to live in poverty

Like this story?
Join World Pulse now to read more inspiring stories and connect with women speaking out across the globe!
Leave a supportive comment to encourage this author
Tell your own story
Explore more stories on topics you care about