Introducing myself and my journal: promotion femme



About Me:
Niko Pasteur na fondateur wa AVOC "shirika la wajane na mayatima wakristu
Ninayo furaha ya kujiunga na kikundi "mamashuja" kwasababu katika mwitowangu nina penda sana kuwatetea wamama na kuwasaidia kupiganisha ubakaji wakijinsia unaofanyiwa zaidi ya wamama na mabinti hasa zaidi mujane na yatima wanao tupiliwa.
KIINI changu ni kutafuta pamoja namna gani kumuinua mjane ili apate tena heshima na samani yake kama vile wama wengine . Apate kufikia kiwango cha kujitegemea na kujisaidia pia kusaidia watoto wake pia inchi yake
Yakobo 1:27 " Dini ya kweli na isiyo na taka mbele za Mungu ni kuwasaidia wajane na mayatima katika shida zao"



My Passions:
Promotion de la veuve et de l'orphelin



My Challenges:
la violences faites aux femmes veuves et aux orphelins



My Vision for the Future:
la restauration de la vie des veuves et orphelins



My Areas of Expertise:
Sud Kivu

First Story
Like this story?
Join World Pulse now to read more inspiring stories and connect with women speaking out across the globe!
Leave a supportive comment to encourage this author
Tell your own story
Explore more stories on topics you care about