MANGUMU YA WAMAMA WACONGO MANI



Kusubukakwa wa mama wa congo mani kufuatana namahisha tunayo wanaume awapataketena makazi mzingowajamaa unakuwamumikonoya mama,wanajikaza kutafutishavinashindikanawenyekuwa na elimu yao kamawana tafuta kazi mkubwa anajibu akuwebibiyake kwahiyo unawaza kutumikakazi walakuacha wengine wanaonamasomoahifahi walewatoto tunawazaa tunawakomalisha kwashidanijapowaodiyo watasahidiya inchikwakesho tunaomba mutusaidiye nasisi tukuwe na namna yakujisahidiya.



Naitwa binwarehema mzazi wa watotomunane.


English translation by community member Celya



Difficulties faced by Congolese mothers



Congolese mothers are facing many challenges in their lives today. Men have no access to jobs anymore and women are carrying the weight of family responsibilities and are trying their best to find jobs. The educated women are being asked by employers to be intimate with them otherwise they don’t get employed. Other women are failing in class. We are bringing up our children in very difficult conditions yet they are the ones who will help the country tomorrow.
We are asking for help from you because we would like to have means of self reliance.
My name is Binwa Rehema I am a mother of eight children.

Like this story?
Join World Pulse now to read more inspiring stories and connect with women speaking out across the globe!
Leave a supportive comment to encourage this author
Tell your own story
Explore more stories on topics you care about